K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,953 Reaction score 6,998 Feb 24, 2016 #1 Janamani. Mie nimehamia moro. Napenda kujau wapi nitapata kiwanja cha kujenga nyumba maeneo ya msanvu,kihonda, na sehemu zingine karibu na mjini Morogoro. Nitataka kiwanja chenye eneo la 30*30 Msq kwenda juu. Mwenye kuwa na viwanja basi aniambie
Janamani. Mie nimehamia moro. Napenda kujau wapi nitapata kiwanja cha kujenga nyumba maeneo ya msanvu,kihonda, na sehemu zingine karibu na mjini Morogoro. Nitataka kiwanja chenye eneo la 30*30 Msq kwenda juu. Mwenye kuwa na viwanja basi aniambie
covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 8,067 Reaction score 20,138 Feb 24, 2016 #2 Kimla said: Janamani. Mie nimehamia moro. Napenda kujau wapi nitapata kiwanja cha kujenga nyumba maeneo ya msanvu,kihonda, na sehemu zingine karibu na mjini Morogoro. Nitataka kiwanja chenye eneo la 30*30 Msq kwenda juu. Mwenye kuwa na viwanja basi aniambie Click to expand...
Kimla said: Janamani. Mie nimehamia moro. Napenda kujau wapi nitapata kiwanja cha kujenga nyumba maeneo ya msanvu,kihonda, na sehemu zingine karibu na mjini Morogoro. Nitataka kiwanja chenye eneo la 30*30 Msq kwenda juu. Mwenye kuwa na viwanja basi aniambie Click to expand...
covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 8,067 Reaction score 20,138 Feb 24, 2016 #3 viwanja vipo kihonda ,mazimbu,bigwa,nanenane na maeneo mengine mengi tu ya karbu na mji..nitafute kwa namba hii 0659558070..
viwanja vipo kihonda ,mazimbu,bigwa,nanenane na maeneo mengine mengi tu ya karbu na mji..nitafute kwa namba hii 0659558070..
MpiganiaUhuru JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 777 Reaction score 912 Feb 24, 2016 #4 Janamani, kujau, msanvu! Duh inaonekana umekuja Moro ukafikia kwanza kwenye vilabu vya ulanzi na komoni, halafu sasa ndio unatafuta wenyeji! Haya karibu, ngoja tukuandalie orodha ya viwanja vilivyopo hasa kwenye maeneo uliyotaja!
Janamani, kujau, msanvu! Duh inaonekana umekuja Moro ukafikia kwanza kwenye vilabu vya ulanzi na komoni, halafu sasa ndio unatafuta wenyeji! Haya karibu, ngoja tukuandalie orodha ya viwanja vilivyopo hasa kwenye maeneo uliyotaja!
MpiganiaUhuru JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 777 Reaction score 912 Feb 24, 2016 #5 Mwinjuma1 said: viwanja vipo kihonda ,mazimbu,bigwa,nanenane na maeneo mengine mengi tu ya karbu na mji..nitafute kwa namba hii 0659558070.. Click to expand... Mh, usije uka-block hii namba baada ya kuingiza watu mkenge, umejuaje kuwa kuna viwanja maeneo hayo bila ya kufanya survey?
Mwinjuma1 said: viwanja vipo kihonda ,mazimbu,bigwa,nanenane na maeneo mengine mengi tu ya karbu na mji..nitafute kwa namba hii 0659558070.. Click to expand... Mh, usije uka-block hii namba baada ya kuingiza watu mkenge, umejuaje kuwa kuna viwanja maeneo hayo bila ya kufanya survey?
Mtumpole JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,280 Reaction score 1,293 Feb 28, 2016 #6 Jaribu kupitia hii thread Plot4Sale - Viwanja vinauzwa maeneo ya Manispaa ya Morogoro, Kigamboni, Bagamoyo na Kibaha!
Jaribu kupitia hii thread Plot4Sale - Viwanja vinauzwa maeneo ya Manispaa ya Morogoro, Kigamboni, Bagamoyo na Kibaha!
pettymarcel JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 2,161 Reaction score 883 Feb 28, 2016 #7 MpiganiaUhuru said: Mh, usije uka-block hii namba baada ya kuingiza watu mkenge, umejuaje kuwa kuna viwanja maeneo hayo bila ya kufanya survey? Click to expand... Jaman labda yeye kaz yake ni ya udalali so lazima atajua sehemu nyingi
MpiganiaUhuru said: Mh, usije uka-block hii namba baada ya kuingiza watu mkenge, umejuaje kuwa kuna viwanja maeneo hayo bila ya kufanya survey? Click to expand... Jaman labda yeye kaz yake ni ya udalali so lazima atajua sehemu nyingi
Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,000 Reaction score 1,560 Mar 5, 2016 #8 Nauza Kiwanja changu kilichopo kihonda Kilimanjaro, bei ni milioni 8 tu, punguzo unaongea. Kina ukubwa wa futi 30x35.
Nauza Kiwanja changu kilichopo kihonda Kilimanjaro, bei ni milioni 8 tu, punguzo unaongea. Kina ukubwa wa futi 30x35.
Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,000 Reaction score 1,560 Mar 5, 2016 #9 Kimla said: Janamani. Mie nimehamia moro. Napenda kujau wapi nitapata kiwanja cha kujenga nyumba maeneo ya msanvu,kihonda, na sehemu zingine karibu na mjini Morogoro. Nitataka kiwanja chenye eneo la 30*30 Msq kwenda juu. Mwenye kuwa na viwanja basi aniambie Click to expand... Nauza Kiwanja changu ukubwa wa 30x35 mita, bei 8M tu, pungufu unaongea. Kipo kihonda kilimanjaro
Kimla said: Janamani. Mie nimehamia moro. Napenda kujau wapi nitapata kiwanja cha kujenga nyumba maeneo ya msanvu,kihonda, na sehemu zingine karibu na mjini Morogoro. Nitataka kiwanja chenye eneo la 30*30 Msq kwenda juu. Mwenye kuwa na viwanja basi aniambie Click to expand... Nauza Kiwanja changu ukubwa wa 30x35 mita, bei 8M tu, pungufu unaongea. Kipo kihonda kilimanjaro
Mtumpole JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,280 Reaction score 1,293 Mar 5, 2016 #10 Evarm said: Nauza Kiwanja changu kilichopo kihonda Kilimanjaro, bei ni milioni 8 tu, punguzo unaongea. Kina ukubwa wa futi 30x35. Click to expand... K/Kilimanjaro sehemu gani?
Evarm said: Nauza Kiwanja changu kilichopo kihonda Kilimanjaro, bei ni milioni 8 tu, punguzo unaongea. Kina ukubwa wa futi 30x35. Click to expand... K/Kilimanjaro sehemu gani?