Kiwanja cha sqm 928 kinauzwa


A

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
1,458
Likes
65
Points
145
A

Akiri

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
1,458 65 145
HIVI NI VIWANJA VYA MLADI MPYA

  • kipo Buyuni wilaya ya Ilala, Dar es salaam.
  • ni 1.5km toka barabara kuu
  • umeme bado haujafika upo umbali wa 1km
  • maji ya kisima
  • eneo tayari limeanza kujengwa nyumba yaani majirani na kiwanja hiki na tayari kuna makazi
  • bei ni 13.5m
  • kina hati , na kipo tambalale
  • tuwasiline 0755 099 291 na 0657 145555
kama utakuwa kariakoo au posta unapanda gari za gongo la mboto mpaka mwisho kisha unapanda gari za chanika unakuwa kama unaenda kisarawe. eneo ni zuri lipo tambalale na kuna ujenzi wa nyumba za kisasa unaendelea
 

Forum statistics

Threads 1,237,128
Members 475,441
Posts 29,279,234