Kiwanja cha makazi mbweni

Kiwanja cha makazi mbweni

akidai

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
262
Reaction score
52
Kina ujazo wa sq 645 kina title deed mil40 tu 0654347423 sawasawa?
 
Dah.. ujazo??
Muwe mnauliza jamani Mungu anakuona ujue
 
Mpiji, mageti Mawili karibu international school,upo halo?
 
Bei ikifika 20m nijulishe nichukue.
 
Walimu wetu watasikitika sana kusikia size ya uwanja inapimwa kwa volume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom