Kiwanja cha kujenga chenye HATI kinahitajika maeneo ya Dar

Kiwanja cha kujenga chenye HATI kinahitajika maeneo ya Dar

J Mbungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
269
Reaction score
74
Kiwanja cha kujenga chenye HATI kinahitajika maeneo ya Dar Es Salaam Au Bagamoyo.. Mwenye Kiwanja au mwenye kuwa na habari za uhahika..ANI - Tumie meseji (PM) akiwa na data za ukubwa wa kiwanja/mahali kilipo na bei yake ni muhimu sana kutajwa.. Ahsanteni!
 
Kiwanja chenye hati miliki/Tittle deed) Maeneo ya Dar Es Salaam/Bagamoyo kinahitajika.. Mwenye nacho au mwenye habari za kuaminika ani-PM, akiwa na data za ukubwa, eneo kilipo na Bei yake ni muhimu kuijua.. Ahsanteni!
 
ninacho mkuu squarea metre 1700 chanika buyuni,kila sq metre tsh 16,000 ni pm kamauko serious
 
Nitafute kuna kiwanja. Sana kinauzwa 0653491308
 
Kiwanja chenye hati
miliki/Tittle deed) Maeneo ya Dar Es Salaam/Bagamoyo kinahitajika..
Mwenye nacho au mwenye habari za kuaminika ani-PM, akiwa na data za
ukubwa, eneo kilipo na Bei yake ni muhimu kuijua.. Ahsanteni!

Ninacho mbweni, square meters 2000, title deed miaka 99, haina deni. Bei milioni 80, haishuki haitingishiki.
 
Kiwanja cha kujenga chenye HATI kinahitajika maeneo ya Dar Es Salaam Au Bagamoyo.. Mwenye Kiwanja au mwenye kuwa na habari za uhahika..ANI - Tumie meseji (PM) akiwa na data za ukubwa wa kiwanja/mahali kilipo na bei yake ni muhimu sana kutajwa.. Ahsanteni!
Salama mkuu kiwanja kipo Kisukuru Dar. Kimepimwa na hati ipo. Ukubwa wake ni square metre 1516 nakipo metre 20 kutoka barabarani . Bei ni millioni 25 na mazungumuzo yapo . Hakina dalali . Kwa taarifa zaidi ni cheki 0653 967510

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ninacho bagamoyo sqm 1200 bei m.25 maongezi yapo kipo karibu na lami kabla hujafika bagamoyo mjini 0713686329
 
njoo mbezi beach upepo unakovuma sqm 900 bei 200mil after 2 years tukiuze 1bil
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom