Ni kiwanja kilichopo eneo la Bunju, mita 150 kutoka barabara kuu ya Bagamoyo road. Kama ambavyo kichwa cha huu uzi kinavyojieleza, kiwanja kina eneo la mita za mraba 520, yaani urefu wa mita 20 na upana wa mita 26.
Zifuatazo ni sifa pamoja na huduma ambazo zimezunguka eneo la kiwanja:
1. Huduma za maji na umeme zinatolewa kwa uhakika
Kwa upande wa umeme, umeme umevutwa mpaka eneo la jirani na kiwanja. Hivyo hivyo na kwa upande wa maji, kuna visima pamoja na huduma ya maji itolewayo na DAWASCO.
2. Huduma ya usafiri na uchukuzi
Kiwanja kinafikika kwa urahisi kutoka kwenye barabara ya Bagamoyo kwa njia zote ikiwemo kwa gari na miguu. Pia kuna huduma ya bodaboda inatolewa kutoka barabarani hadi eneo lililopo kiwanja.
3. Muonekano wa kiwanja
Kiwanja ni tambarare na maeneo ya jirani yana miinuko ya wastani. Picha za kiwanja zinajionyesha zaidi.
4. Maduka na huduma zinginezo
Kiwanja kimezungukwa na maduka mbalimabi na huduma zinginezo kama vile sehemu za kujipumzisha kama vile grocery
5. Ulinzi na usalama
Kiwanja kipo eneo salama kabisa kwa kuwa kipo jirani na eneo la kituo cha polisi. Hivyo, sio eneo lenye matukio ya kiuhalifu.
Bei ya kiwanja ni Tshs. 6 millioni (bei ina zungumzika) bila dalali. Kwa wale ambao watavutiwa na kiwanja hichi, naomba tuwasiliane zaidi kwa namba zifuatazo: 0754 22 97 45 au 0657 15 19 38.
View attachment 162178 View attachment 162179 View attachment 162180 View attachment 162384 View attachment 162385
Hizi ni picha za jinsi kiwanja kinavyoonekana