Kiwanja bomba mbili Dar es Salaam

Kiwanja bomba mbili Dar es Salaam

jiliml

Senior Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
160
Reaction score
24
Kina ukubwa wa mita 24 kwa 20,unaweza kupitia njia ya moshi bar au kivule unafika kiwanja kipo safi hakina mabonde wala milima hakituami maji anayehitaji ani pm,bei milioni 8
 
Huko si ndio kwenye mradi wa bomba la gesi la wachina? Wataka kutuuzia kiti moto ndani ya mwezi mtukufu au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom