Futi 60*62 ni sawa na mita 18*19?Nauza kiwanja changu futi 60*62 kilichopo Vikindu vianzi kwa mil 2.5 tu. Pia ukinunua kiwanja nitakupa na matofali 400 bure yaliyopo hapohapo kiwanjani. Piga 0625667292.
Sawa na mita 20 x 21Futi 60*62 ni sawa na mita 18*19?
kwani mita moja ni sawa na futi ngapi? Kumbukumbu zangu zinaonyesha 1m=3.3ftSawa na mita 20 x 21
Ni kitu hichohicho mkuu tuko pamoja isipokuwa wewe umezigawanya hizo futi kwa 3 na kuongezea point(decimals).kwani mita moja ni sawa na futi ngapi? Kumbukumbu zangu zinaonyesha 1m=3.3ft
Thus 60ft=60/3.3m; =18.1m and 62/3.3; =18.9m
Vianzi pande za mkunguleVianzi pande gani mkuu?