Kiwanja bei nafuu

Kiwanja bei nafuu

Nelson Kapaya

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
99
Reaction score
15
Nauza Kiwanja maeneo ya airport ilemela-mwanza. Ukubwa 30m*20m. Bei 1.7 ml. 0753101293
 
huduma ya Umeme na maji ipo karibu? umbali kutoka barabara kuu ni km ngapi?
 
Nilijua Dar nikuvutie waya dk hii. Kwenye upanuzi wa hiyo barabara haipiwi kweli?
 
Hiki kiwanja kina tatizo gani ? Maana location ,size na bei ni reasonable ila hauuzi tatizo nini?

I smell something fishy
 
Acha uhuni wewe. Kiwanja karibu na airport 1.7m? Hapa ndio huwa najiuliza the so called intelijensia kazi yake nini kama si kukamata watu wa hivi kabla hawajaleta madhara?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom