Kiwanja barabarani kinauzwa

mzuriwatabia

Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
27
Reaction score
2
Kiwanja kipo barabarani bagamoyo karibu na KIROMO HOTEL.. kina ukubwa wa 20*20 (hatua) umeme na maji vipo karibu na gari inafika mpaka kiwanjani...watu wamejenga (uzunguni)..nyumba ya vyumba vitatu inasimama bila wasiwasi...ni pm au comment hapa for more details.
 
kiwanja barabarani? una utani na magufuli wewee..
 
yani nitoke dar nichome mafuta 50km hadi kiromo kwenye hivyo vi appartment nije kununua kiganja cha mkono cha 20 kwa 20 be serious dude.
 
20x20 uzunguni??
 
Hahahaaaaa mm nimejichukulia heka 5 kiromo kibaoni hadi rahaaa
 
yani nitoke dar nichome mafuta 50km hadi kiromo kwenye hivyo vi appartment nije kununua kiganja cha mkono cha 20 kwa 20 be serious dude.

Kwenye kila post ya viwanja upo mkuu.I think we have something in common and I feel like there is a value I can get if I can get a chance to have a chat with u mkuu.Kwa ruhusa yako naomba niku PM
 
Hicho ni kiwanja au Stend ya magari ya mwendo kasi? Hebu fafanua vizuri mkuu...Tangazo lako lina utata kidogo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…