Kipo njiro container unaingia kilometa moja na nusu ndani, kina ukubwa wa 30 x 33m. Bei Milion 28, na udongo wake ni mwekundu. 0755 033997

Tatizo sasa hivi hadi Kiserian wanaita Njiro.Acha uwongo, udongo wa njiro ni mfinyanzi!
Mvua ikinyesha ni balaaa.
Tatizo sasa hivi hadi Kiserian wanaita Njiro.