Kiwango Cha Soka Afrika Iko Wapi?

Joined
May 8, 2014
Posts
73
Reaction score
10
Ni matumaini yangu kuwa wadau wa soka mnafuatilia kombe la dunia nchini Brazil, sisi sote tulikuwa tukitazama sana timu zetu za Afrika lakini wamekuwa wakifanya vibaya. Kwa maana hiyo wachezaji wetu hawana vipaji au tatizo ni nini. Nilitegemea Nigeria na Ghana washinde. Matokeo yake Nigeria walikuwa wakicheza kama vile wanafanya mazoezi. Kwa mfumo huu Afrika hatutafika popote.
 
Of all the country unashabikia Nigeria jamani, wale tokea mwaka 1998 mimi nilishaachana nao bora nafas ya uwakilishi wangepewa hata Sudan Kusini au hata Madagasca kuliko Nigeria na Cameroon
 
Kuna laana inatuandama sio bure
 
Wanajitahidi wakuu. Walau hakuna aliye kula 4 au 5 kama Ureno na Uhispania(bingwa mtetezi?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…