schizoid-man
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 402
- 392
Sorry for late reply,security Guard wa TANROAD anaweza pokea mshara wa sh.ngap,and incentives zipi waweza pata as security guard
@Franklin Wolfgang mkuu msaada tafadhalKwa post za HRO mwenye kujua take home as per Tanroad Salary Scale.
@Franklin Wolfgang mkuu msaada tafadhal
Ivi Basic ndo Gross syo?Basic ni 1.5 m mkuu
Ivi Basic ndo Gross syo?
Vipi wana increments za Mwaka? Kwa wanao endelea either kwa kurenew au kivyovyote
Ok ShukranYes basic ndio gross,
Kuhusu increment sifaham chief..
Mkuu una faham scale za TRC? For the same post kama niliyo uliza apo juuYes basic ndio gross,
Kuhusu increment sifaham chief..
TRCS1 hii ni kwa wale wa chini kabisa hadi TRCS14 ambayo hii ni kwa Director General unahitaji kujua ipi hapo.Mkuu una faham scale za TRC? For the same post kama niliyo uliza apo juu
Mkuu una faham scale za TRC? For the same post kama niliyo uliza apo juu
Kwa HRO mkuuTRCS1 hii ni kwa wale wa chini kabisa hadi TRCS14 ambayo hii ni kwa Director General unahitaji kujua ipi hapo.
TRCS 6 kwa Bachelor degree.Kwa HRO mkuu
Ambayo inakua ni ngapi Net/GrossTRCS 6 kwa Bachelor degree.
Je TRDS 6.1 ni sawa na sh ngapi?Tsh 460,000/-
Je TRDS 6.1 ni sawa na sh ngapi?
5.1 ni 1,500,000 na 6.1 ni 2,000,000Jaman TRS 5.1 Ni Sawa na tsh ngap au TRS 6.1
TRCS 6TRCS1 hii ni kwa wale wa chini kabisa hadi TRCS14 ambayo hii ni kwa Director General unahitaji kujua ipi hapo.