Wewe nenda kafanye Kazi tu Mkuu Mshahara utaukuta huko huko. Kuna Wenzako wengi tu ambao nina uhakika wamekuzidi Vigezo vyote ila hawakubahatika kama Wewe hivyo Kikubwa Kwanza ni kushukuru kama umepata hiyo Ajira / Kazi na masuala ya mshahara ' yatajiseti ' tu huko huko na kama utakuwa na Utendaji mzuri nina uhakika Bosi wako atakuongezea tu mshahara na maslahi mengine.