Habari zenu jamani, ni mshahara kiasi gani analipwa teaching staff wa school of st jude ya Arusha, kwa anayejua please!
sasa wewe ulitaka kulipwa mshahara pasipokufanya kazi mkuu?Trump hakukosea kututukana aseemil 1.2
ila wana mikazi pale mpaka utatamani kuacha kazi no kupumzika
ni kama shule ya thaqaafa mwanza malipo mazuri ila mziki wake sio mchezo
Ivi iyo ni Thaqaafa ama ni Thaqibu inavyoitwamil 1.2
ila wana mikazi pale mpaka utatamani kuacha kazi no kupumzika
ni kama shule ya thaqaafa mwanza malipo mazuri ila mziki wake sio mchezo