M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,920 Reaction score 4,710 May 24, 2023 #1 Habar wakuu nauliza kiwango Cha mapigo ya moyo ukipima presha kiwango Cha mapigo ya moyo kinatakiwa kianzie ngapi
Habar wakuu nauliza kiwango Cha mapigo ya moyo ukipima presha kiwango Cha mapigo ya moyo kinatakiwa kianzie ngapi
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 14,352 Reaction score 40,407 May 24, 2023 #2 Uzi mzur ngoja watalamu waje
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,259 Reaction score 22,331 May 24, 2023 #3 malembeka18 said: Habar wakuu nauliza kiwango Cha mapigo ya moyo ukipima presha kiwango Cha mapigo ya moyo kinatakiwa kianzie ngapi Click to expand... Ooogle can help more
malembeka18 said: Habar wakuu nauliza kiwango Cha mapigo ya moyo ukipima presha kiwango Cha mapigo ya moyo kinatakiwa kianzie ngapi Click to expand... Ooogle can help more
Lukonge JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 1,674 Reaction score 2,470 May 24, 2023 #4 malembeka18 said: Habar wakuu nauliza kiwango Cha mapigo ya moyo ukipima presha kiwango Cha mapigo ya moyo kinatakiwa kianzie ngapi Click to expand... Inatakiwa kwa mtu mzima wastani wa 60-100 kwa dakika moja, ingawa kuna baadhi ya watu wengine inakuwa mpaka 55 kwa dakika na ni kawaida kwao.
malembeka18 said: Habar wakuu nauliza kiwango Cha mapigo ya moyo ukipima presha kiwango Cha mapigo ya moyo kinatakiwa kianzie ngapi Click to expand... Inatakiwa kwa mtu mzima wastani wa 60-100 kwa dakika moja, ingawa kuna baadhi ya watu wengine inakuwa mpaka 55 kwa dakika na ni kawaida kwao.