Kiwanda kinauzwa

Wana jf mbona mnamawazo negative utanunuaje Mashine Zinazodaiwa kodi
 
Waziri mwijage kinunue kiwanda hicho

Ova
 
kingekua dar tungeongea mkuu lakn kwa tanga.. sina plan ya huko
 
Atakuwa amewaza mambo makubwa zaidi yako, wewe unataka kununua pikipiki, mwenzia ameagiza gari, nadhani yuko sawa chukua huo mtumba
 
Ni mambo ya biashara tu Amina kuna Mashine nyingine nataka kuzichukua kubwa za hizo ndio maana nimeona niuze hio ili niongeze hatua kubwa zaidi
Msome hapo[emoji115]
 
Kiwanda sio tu hicho mkuu ninavyo vingi tuu ila hicho nilikua natafuta mnunuzi ili nilete kikubwa zaidi
Unauza mitambo au pamoja na eneo (title) zilimo kiwanda? Unauza kama asset au kampuni endelevu?
 
Kiwanda sio jengo Ni Mashine zilizomo ndani ya jengo mkuu
 
Weee acha tuu kutiana stress
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…