Kiwanda kinauzwa

Daah!Mungu mkubwa yaani kitu ambacho wewe unatamani ukipate ufanye project ya millions of Tshs kwa idea ambayo tofauti kwa kutumia mashine fulani,lakini mwenzako anayo hiyo mashine ila idea yako hana na anaamua kuiza.
Ni ushahidi tosha kwamba tuna tofauti katika IQ
 
Mkuu fanya kumtafuta mhusika mkubaliane kwa mkataba mpige kazi
 
Nitafuyeni kwenye number hio apo juu kwa maongezi zaidi .tunaweza pia tukaingia ubia
 
Iuzie serikali mkuu.
Inapenda sana hii makitu.
 
ungemshirikisha na mheshimiwa rais, kama kweli angekuruhusu kuuza kiwanda
 
Tafuteni Mteja Labda Congo Tanzania Wanapiga Marufuku Plastics
 
Asante Mkuu
Ila Zanzibar kwetu huku hatutumii mifuko hiyo miaka Mingi tangu ipigwe marufuku.
Ni bora ukamatwe na Unga kuliko mifuko ya plastic.

Ila hongera kwa ujasiriamali,ila najua hapo ukaguzi haukufanyika,maana naona jengo limekatika kwa mshindo
 
Limekatika kivipi mkuu

Sent from my XT1032 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hilo jengo zilizomo hizo mashine lina ukubwa gani? Nadhani unauza na jengo pamoja au ni hizo mashine tu mnunuzi akatafute pa kuziweka mwenyewe?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…