Mimi kidogo natofautiana na baadhi ya watu.
Tukikuta noti feki kwenye mzunguko basi hatuwezi kuifungia BOT hata kidogo. Siipendi CCM na viongozi wake mpaka rangi zake na Timu ya Yanga ikiwemo but kwa hili nafikiri TPI hawana makosa.
Nimemsikiliza Zarina Madabida anasema wao hawana mitambo ya kutengeneza dawa zenye leya mbili, wala hawajawahi kua na chupa za aina ile. Hii issue wameipiga watu wa MSD. Au pengine wakati mzigo unatoka njiani kuja MSD wataalamu wakaupiga "change quarter". Mi hawa jamaa wanaojiitaga Papaa sinaga imani nao kabisa.