kuna ubunifu mwingi tu unaweza kufanyika. Serikali ipige marufuku bidhaa hizo. Atakaekamatwa anatumia mifuko hiyo jela miezi mitatu.
2/ Kampuni ya kutengeneza khanga itengeneze cheap mifuko ambayo inaweza kutumika kama mbadala wa mifuko hiyo. Kampuni hizo zinaweza hata kutumia reject khanga au vitenge kwa shughuli hizo. But ili haya yaweze kutkelezeka Januari Makamba apelekwe Wizara nyingine. Ni Msomi mzuri lakini kwa hili kashindwa. Walau Makonda anakuja na mbinu zitakazoweza kutatua tatizo hili eg wazo la kutumia vijana wa JKT katika kusafisha jiji letu (including hiyo bidhaa iliyolaaniwa ya plastiki!)