Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Mkuu huyu mtu atatumaliza wote yeye atakuwa wamwishoKwan Magu Akifa Ww Utapungukiwa Nin Acha Afe Tuuu...??
Vipi kuhusu responsibilities za wanao mlinda?KAWAIDA TU, INGEKUWA BAHATI MBAYA.. KWA KUWA MWENYEWE ALISHARIDHIA.
Kama umeangalia vizuri video utagundua hakupitia security check yeyote ndo maana wale bodyguards hawakutaka kabisa amsogelee RaisAlready scanned.
Kuna layer nyingi za ulinzi. Hadi afike hapo tayari ameshapitia level nyingi za ulinzi na akahakikiwa ni salama.
Mkuu bado tunamuhitaji pesa za makinikia bado hajagawa kapokea tayari tunasubili mgaoKwan Magu Akifa Ww Utapungukiwa Nin Acha Afe Tuuu...??
Habari WanaJf,
Leo nilikuwa naangalia live ufunguzi wa benki ya CRDB tawi la Chato, katika kipengele cha burudani kuna kikundi cha ngoma za asili wakati kinatumbuzi alitokea bwana mmoja miongoni mwa washereheshaji ambae alikuwa na muonekano kama wa jini au kichaa, mwili mzima amejipaka vitu kama mkaa au madawa.
Wakati anatumbuiza alielekea upande alipo Rais, hapa wanausalama walionekana wazi kutomuamini huyu mtu kumsogelea raisi lakini bila kujali hilo Rais aliamuru huyu mtu amkafibie.
Swali langu ni je hii ni sawa kiusalama wa Rais, mfano kama huyu mtu alijipaka sumu? Au amebeba kitu hatari usalama wa Rais unakuwa katika hali gani?.