Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Jan 25, 2014 #21 Hha ha ha, hamisi na Mwaju mnanichekesha majibizano yenu.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 25, 2014 #22 Nyani Ngabu said: Ana kijipu uchungu huyo Click to expand... tena kitakuwa kwenye dushelele
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,155 Reaction score 137,166 Jan 25, 2014 #23 Husninyo said: tena kitakuwa kwenye dushelele Click to expand... Heheheheeeee:biggrin1:
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 25, 2014 #24 Kongosho said: Hha ha ha, hamisi na Mwaju mnanichekesha majibizano yenu. Click to expand... hahaha! Nani kakufundisha kuchungulia wakubwa wakiwa wanaongea?
Kongosho said: Hha ha ha, hamisi na Mwaju mnanichekesha majibizano yenu. Click to expand... hahaha! Nani kakufundisha kuchungulia wakubwa wakiwa wanaongea?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 25, 2014 #25 Nyani Ngabu said: Heheheheeeee:biggrin1: Click to expand... nigongee japo nusu 'like' hamisi.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,155 Reaction score 137,166 Jan 25, 2014 #26 Husninyo said: nigongee japo nusu 'like' hamisi. Click to expand... Laiki na rep power juu.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 25, 2014 #27 Nyani Ngabu said: Laiki na rep power juu. Click to expand... hehehehe! Leo umeamkia wapi unanikosha hivi!!
Nyani Ngabu said: Laiki na rep power juu. Click to expand... hehehehe! Leo umeamkia wapi unanikosha hivi!!
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,155 Reaction score 137,166 Jan 25, 2014 #28 Husninyo said: hehehehe! Leo umeamkia wapi unanikosha hivi!! Click to expand... Dah invizibo kaniwekea roho stoki la sivyo ningekugongea tena rep power. Gademu invizibo. Alafu kwa nini umenibania kunifundisha log wewe.....nimesubiri tokea mwaka juzi lakini wapi
Husninyo said: hehehehe! Leo umeamkia wapi unanikosha hivi!! Click to expand... Dah invizibo kaniwekea roho stoki la sivyo ningekugongea tena rep power. Gademu invizibo. Alafu kwa nini umenibania kunifundisha log wewe.....nimesubiri tokea mwaka juzi lakini wapi
A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,039 Jan 25, 2014 #29 Nenda hospitali kijana......
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 25, 2014 #30 Nyani Ngabu said: Dah invizibo kaniwekea roho stoki la sivyo ningekugongea tena rep power. Gademu invizibo. Alafu kwa nini umenibania kunifundisha log wewe.....nimesubiri tokea mwaka juzi lakini wapi Click to expand... hahaha! Basi kesho asbh usisahau kunigongea. Darasa lianze lini? Mie tangu mwaka juzi nasubiri mwanafunzi hutokei.
Nyani Ngabu said: Dah invizibo kaniwekea roho stoki la sivyo ningekugongea tena rep power. Gademu invizibo. Alafu kwa nini umenibania kunifundisha log wewe.....nimesubiri tokea mwaka juzi lakini wapi Click to expand... hahaha! Basi kesho asbh usisahau kunigongea. Darasa lianze lini? Mie tangu mwaka juzi nasubiri mwanafunzi hutokei.
lyinga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 2,494 Reaction score 1,057 Jan 25, 2014 #31 Itakuwa ni antvirus mwambie akapime kaswende apate antbiotic kali atapona.
charger JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 2,320 Reaction score 1,373 Jan 25, 2014 #32 Unajua kuna mtu anaitwa JIPU humu jf? So ndio huyo yupo kwenye nyeti zako?
charger JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 2,320 Reaction score 1,373 Jan 25, 2014 #33 Husninyo said: hahaha! Basi kesho asbh usisahau kunigongea. Darasa lianze lini? Mie tangu mwaka juzi nasubiri mwanafunzi hutokei. Click to expand... Afu nyie Nyani Ngabo na Husninyo nawapa ban ya kuvaa nguo usiku wa leo.
Husninyo said: hahaha! Basi kesho asbh usisahau kunigongea. Darasa lianze lini? Mie tangu mwaka juzi nasubiri mwanafunzi hutokei. Click to expand... Afu nyie Nyani Ngabo na Husninyo nawapa ban ya kuvaa nguo usiku wa leo.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 25, 2014 #34 charger said: Afu nyie Nyani Ngabo na Husninyo nawapa ban ya kuvaa nguo usiku wa leo. Click to expand... hiyo adhabu kali sana kwetu. Eti hamisi utaiweza?
charger said: Afu nyie Nyani Ngabo na Husninyo nawapa ban ya kuvaa nguo usiku wa leo. Click to expand... hiyo adhabu kali sana kwetu. Eti hamisi utaiweza?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,155 Reaction score 137,166 Jan 25, 2014 #35 Husninyo said: hiyo adhabu kali sana kwetu. Eti hamisi utaiweza? Click to expand... Ntaiwezea wapi miye hiyo. Ni sawa na kunambia nikimbie marathon kwenye jua kali bila kunywa maji.
Husninyo said: hiyo adhabu kali sana kwetu. Eti hamisi utaiweza? Click to expand... Ntaiwezea wapi miye hiyo. Ni sawa na kunambia nikimbie marathon kwenye jua kali bila kunywa maji.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 25, 2014 #36 Nyani Ngabu said: Ntaiwezea wapi miye hiyo. Ni sawa na kunambia nikimbie marathon kwenye jua kali bila kunywa maji. Click to expand... mie sawa sawa anambie niache kulamba koni. Lol. Halafu hiyo zawad yangu mbona haifiki hamisi?
Nyani Ngabu said: Ntaiwezea wapi miye hiyo. Ni sawa na kunambia nikimbie marathon kwenye jua kali bila kunywa maji. Click to expand... mie sawa sawa anambie niache kulamba koni. Lol. Halafu hiyo zawad yangu mbona haifiki hamisi?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,155 Reaction score 137,166 Jan 25, 2014 #37 Husninyo said: mie sawa sawa anambie niache kulamba koni. Lol. Halafu hiyo zawad yangu mbona haifiki hamisi? Click to expand... Vuta subra Mwajuma....iko njiani
Husninyo said: mie sawa sawa anambie niache kulamba koni. Lol. Halafu hiyo zawad yangu mbona haifiki hamisi? Click to expand... Vuta subra Mwajuma....iko njiani
jishike Member Joined Jan 16, 2014 Posts 23 Reaction score 4 Jan 25, 2014 #38 jamani waalikeni wadau wengine na waambiwe kuwa ukitaka kuishi maisha marefu ni lazima wajiunge jamii forum,kwa kweli nacheka,nafarijika na hata kuondoa strss zote kila nikiwa jamii forum.Hongereni wadau wote na Mungu awajalie afya njema
jamani waalikeni wadau wengine na waambiwe kuwa ukitaka kuishi maisha marefu ni lazima wajiunge jamii forum,kwa kweli nacheka,nafarijika na hata kuondoa strss zote kila nikiwa jamii forum.Hongereni wadau wote na Mungu awajalie afya njema
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 25, 2014 #39 Nyani Ngabu said: Vuta subra Mwajuma....iko njiani Click to expand... hehehe! Sawa hamisi ila ngoja ngoja yaumiza vitambi ujue.
Nyani Ngabu said: Vuta subra Mwajuma....iko njiani Click to expand... hehehe! Sawa hamisi ila ngoja ngoja yaumiza vitambi ujue.
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,006 Reaction score 72,304 Jan 26, 2014 #40 Si aende hospitaliiii!!!!mpaka ushauri na hilo hawezi tumia akili zakee