Habari wana jf. kama nilivyoainixha hapo juu, kiukweli naumwa sana na kiuno yaani nikijikunja kidogo kama nataka kuangukia nyuma napata maumivu makali sana. kuna cku kiliuma mpaka nikaomba niwekewe kitu kizito kiunoni huku nimelala toka ck hy ndo mpaka leo bdo kinauma.
MSAADA TAFADHALI.