Thanks, huwa anahudhuri clinic tatizo hili limeanza sio mda mrefu, nashukuru kwa ushauriAendee hospital haraka hizo ni dalili mbaya kwa mama mjamzito. Alafu wakati mwingine jamani mtu unaumwa hata hospital hujaenda unakuja hapa jf kutaka ushauri, hebu tujiongezee. hapa jf uje kama umetumia dawa aina mbalimbali na hujapona ndio watu tunaweza kukushauri kitu cha kufanya au tiba mbadala. Sasa kama huyu mwenzetu anajua mkewe mjamzito na anaumwa kiuno na vichomi hujui mama mjamzito kuanzia mwezi wa kwanza hadi anaenda kujifungua hospital wanasema tupo ktk "risk" kila unachokiona unatakiwa kuripoti hospital, na sio vinginevyo. Hebu mpeleke mwenzio hospital haraka sana.
Duu, nimekupata Mkuu, thanksNafikiri umenielewa. Kina mama wengi wanapoteza maisha kwa kucheleweshwa kupelekwa hospital. Dalili ya kiuno kuuma ni mimba inatishia kutoka. niliogopa kukuambia mwanzoni sasa naomba uelewe hivyo. Aidha atapewa bed rest au madaktari watajua.