Kiungulia (heartburn)

Koroga nusu kijiko cha chai sodium bicarbonate (sio ile baking powder) kwenye glass ya maji ya kunywa kisha uinywe yote. Kama ni vigumu kupata hiyo bicarbonate tumia hata majivu ya kawaida ya kuni au mkaa. Pole sana. Ila hii ni tiba ya dharura tu -once in a while, ukihitaji tiba sahihi ya tatizo lako badili lifestyle na ulaji wako.
 
Msaada jaman jinsi ua kupunguza Kiungulia ( heartburn) please

Tatizo hilo linatokana na Acidity kuongezeka ndani ya tumbo. Ushauri wangu kama daktari ni yafuatayo:

1. Usile chakula nusu saa kabla ya kulala. Kula chakula na kulala hapo na hapo linaongeza tatizo hili.
2. Usile vyakula vya kukanga kila mara. Jaribu kula vyakula vyakuchamsha pia.
3. Kunywa maji yakutosha, Lita 3 mpaka 4. Yaani, glasi 6 mpaka 8.
4. Kama unakula pilipili, punguza kula pilipili.
5. Tumia dawa hili: Pantoprazole 40mg kila siku kwa muda wa wiki mbili.

Utapata nafuu na tatizo hili litaondoka. Kama una maswali zaidi unaweza kuniuliza kwenye uzi langu: Nakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Asante Sana.
 
Msaada jaman jinsi ua kupunguza Kiungulia ( heartburn) please

KIUNGULIA::

TIBA:
Changanya glasi moja (250ml) ya maziwa na kijiko kikubwa 10ml) cha mafuta ya habat soda.
Kunywa mchanganyiko huu na urudie kutwa mara tatu (1×3) kwa muda wa siku 5. tumia kisha uje unipe feedback

264px-Nigella_sativa_oil.jpg




Nigella Sativa oil au Black seed Oil Mafuta ya Habat Soda yanapatikana mjini Dar kwenye Maduka ya wauza Dawa za Kienyeji Karibu na sokoni Kariakoo..............Kaulize utapata huko.Au Uliza kwenya Ma-Super Market Makubwa yaliyopo mjini Dares-Salaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom