The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,426
- 12,161
Kichocho, may be!Konokono.... Ufafanuzi???
Kichocho, may be!
ndio, kichocho. Lakini pia konokono hasa wapatikanao katika mito mingi iliyopo hasa katika kanda ya kusini mwa jangwa la sahara hubeba vimelea vingi vya magonjwa Kama kichocho na mazalia ya minyoo. Hasa ukiangalia kuna jamii za watu wanawatumia kama chakula.Konokono.... Ufafanuzi???
Ni mwenyekiti wa kundi hili kwa sasaPopo naona ndioanakimbiza zaidi saiz 😌 😌
Wanakaonea tu.
yupo hapo number 2Kiumbe hatari zaidi ni BINADAMU huyu ndio ameua mabilioni ya watu japo hujamtaja.
CoranaizationPopo? Kiaje yani?
Popo hauwi kwa kung'ata au kuatack labda hapana ila kwa sababu ni mnyama aneyebeba magonjwa mengi ingawa yeye hadhuliki ila Anayasambaza kwa viumbe wengine binadamu akiwemo mfano SARS- CoV.Popo? Kiaje yani?
Bill Gates Ni kiumbe hatari sana duniani kwani utajiri wake ni damu za watu. Kwa miaka mingi utajiri wake upo katika kutengeneza virus na kutengeneza kinga ili apatiwe pesa kwa sindano za kingaHawa ni baadhi ya wanyama na wadudu wanaojulikana zaidi duniani ambao ni hatari na wanaongoza zaidi kwa kusababisha vifo vya watu wengi duniani kwa makadirio ya kila mwaka.
KIUMBE — VIFO
26. Popo 2
25. Dubu. 3
24. Papa. 4
23. Buibui. 7
22. Mbwa mwitu. 10
21. Ng'ombe. 20
20. Farasi. 20
19. Simba. 22
18. Chui. 29
17. Siafu. 30
16. Nyuki. 53
15. Jellyfish. 110
14. Chui milia. 125
13. Deer. 130
12. Nyati. 200
11. Kiboko. 500
10. Tembo. 500
9. Tapeworm. 700
8. Mamba. 1000
7. Nge. 12000
6. Mbung'o. 20,000
5. Konokono. 20,000
4. Mbwa. 25,000
3. Nyoka. 50,000
2. Binadamu. 435,000
1. Mbu. 725,000
MAPINDUZI
-Popo (2019/20) zaidi ya 200k.