Habari Za Mchana Wana Jamvi, Kwa Kifupi Tu Mimi Ni Mkazi Wa Mbezi-Msuguri, Miez 3 Imepita Toka Nilipoamua Kufunga Ofisi Yangu Ya Biashara Ya Uwakala (M-pesa na Tigo pesa), Kilichonisababisha Nije Humu Ni Kuomba Msaada Wa Mawazo Baada Ya Kufikiria Sana Cha Kufanya Na Kutokupata Jibu La Kuridhisha, Ni Hivi Hapa Ninapofanya Hii Kazi Yangu Kwa Bahati Nzuri Nilibahatika Kupata Fremu Ambayo Ni Kubwa na Kama Mnavyojua Kuwa Hii Kazi Haitaji Eneo Kubwa Sana, Inahitaji Meza Pesa Na Simu Zako Za Kazi, Sasa Kinachoniumiza Roho Ni Kuona Nimekaa Katika Chumba Kikubwa Ambacho Kipo Wazi Wakati Ninaweza Nikaongeza Vitu Vingine Ambavyo Vinaweza Kuboresha Kipato Changu, Nilikuwa Nahitaji Kuongeza Bizness Ambayo Ni Tofauti Kidogo Na Wafanya Biashara Wengi Wa Eneo Hili Nilipo, Maana Hapa Kuna Wafanyabiashara Wengi Kidogo Wa Maduka Ya Rejareja, Vinyawi, Stationary, Japo Nafanya Na Biashara Kama Ya Kuuza Vocha, Kusajili, Tigo Rusha Vyote Nafanya, Ila Sijaridhika Koz Bado Nina Eneo Kubwa Lililo Wazi, Nilichokuwa Nahitaji Ni Idea Nyingine Nzuri Ya Biashara Ambayo Na Weza Kufanya Ya Tofauti Kidogo Na Wafanya Biashara Wa Eneo Hili Ambayo Itanisaidia Kuboresha Kipato Changu, Nimeamua Kilileta Swala Hili Humu Koz Niamini Hakuna Sehemu Nyingine Ambayo Ninaweza Nikapata Mawazo Mazuri Kama Humu JF, Nawakilisha.
Kwa nini usifikirie Kupanua hiyo biashara yako? mi kwa mtazamo wangu hiyo biashara inalipa sana sema watu wengi wanafanya kama kakitu cha mchezomchezo tu.
1. Ongeza mtaji wako mkuu, station nyingi za pesa za mtandao zina shida ya pesa, ukienda kuweka ama kuchua hata laki tano unaweza kuzunguka mpaka uchoke na solution iliyopo ni kuweka au kuchukua nusunusu, hivyo jaribu kuwa na mtaji mkubwa kiasi kwamba watu watakuwa wanakuja kwako wakijua hawatakwama
2. Ongeza Muda wa kazi, ufungue mapema sana na kufunga late ili hicho kijiwe chako kiwe kimbilio la watu wengi,
3. tafuta wafanyakazi wenye uzoefu na wenye lugha ya kibiashara
Hiyo biashara nzuri sana

Hili wazo ni zuri sana .
Ila mie naona tatizo la mtaji mkubwa wa kazi hizi ni usalama wa eneo husika.
Maana mtu akiwa na 1 au 2m tu roho juu.
Kwanza ni lazima uhakikishe kwamba Biashara mpya haififizi ile ya awali.
Unaweza kukuta unaunganisha Biashara halafu ikaififiza ile ya mwanzo nawateja kutokujua kwamba unafanya nini.Tegema wateja wapya na sio uwe na concept kwamba watu wanakujua unafanya nini.
Pia muda ambao ueanza hizo huduma ni miezi mitatu ni michache sana ku study Biashara.
Ila unaweza kufungua biashara ya Matunda(Fruits)mbali mbali na Juices,soda,Maji na Snacks nyingine.
Hili wazo ni zuri sana .
Ila mie naona tatizo la mtaji mkubwa wa kazi hizi ni usalama wa eneo husika.
Maana mtu akiwa na 1 au 2m tu roho juu.
kabla ya ushauri wa kitaalamu kwanza jibu maswali haya
mtaji wako ni sh ngapi hata kama huna sema ule uwezo wako wa mwisho ni ngapi
wananchi wako wana hali gani kiuchumi na kielimu kwa ujumla
Idadi ya wakazi wa mtaa wako ni kawaida au wengi kiasi au crowd of people