Robin Van Mysterio
Senior Member
- Jul 24, 2014
- 102
- 15
Yaani kila nikikaa au nikitembea nna kamchezo ka kujichokonoa chokonoa puani..
Hii tabia binafsi inaniboa sana ila najishangaa nashindwa kuiacha.. nisaidieni ili niiache jamani..
Hhhhaaaa uiiii
.....ukimaliza puani unahamia mata.koni....kabisa...
Vidole vipake pilipili tu...
Mh!!!,haya uvumilie majibu yote yatakayokuja!
pole
kuna watu wanaingizia kwenye maziwa wengine mdomoni
mi nina kagabia kakuingiza kwatika blauz kama sijavaa gauni
so solution ni kwamba kama natoka navaa gaun
kama navaa blauz nachomekea
sasa wewe inabidi utembee na kitambaa ukijisikia kuingiza chukua kitambaa jipanguze then utaacha ata the end of the day
Wewe ni kei au ni me ?
Mi ni ME