Si bora siku hizi wanajiuzulu hata kujiuzulu, enzi za Nyerere anawapangua tu anamtoa huyu hapa anampeleka kule.
Halafu watu wanampandisha chaaaati.We have a long way to go.
Hii chuki binafsi inaku-blind to facts. Consider the evidence. Here is one:
Unakataa Nyerere haku recycle watu? Nenda kamuulize John Cheyo, nenda kamuulize Nyakyoma aliyekuwa GAPEX, washua kibao walikuwa wanapeta kama nchi yao, tatizo kulikuwa hamna transparency tu, Nyerere alikuwa na loyalty kwa watu wake kiajabu.Juzi Warioba katoboa siri jinsi Nyerere alivyotaka kuleta constitutional crisis kumchagua ubunge mtu aliyepigwa ban na mahakama kwa sababu ni crony wake tu, bado unabisha kwamba Nyerere si plagiarist? Unabisha kwamba Nyerere haku recycle mafisadi wakati wake?
Usikimbie ushahidi huo hapo juu. Ujadili kwanza. Unaongea kana kwamba kamwe watu hawakujiuzulu au hawakufukuzwa kazi wakati wa Nyerere.
Kuna sababu ya msingi iliyofanya Nyerere awapa watu kadhaa nafasi ya pili. Kawaulize na wasaidizi wake wa karibu watakuambia. Kumbuka hatari ya kusikiliza hadithi ya upande mmoja tu - The danger of a Singe Story!
Usikimbie facts zipo hapo juu, unaongea kama watu hawajawa recycled baada ya kufanya ufisadi wa hali ya juu? Mbona nimekupa specific examples na majina hayo hapo juu? Bisha sasa.
Acha u-hambiliki. Nimeshakupata muktadha hapo juu kuhusu watu kupewa nafasi ya pili katika enzi zile ambapo 'manpower' ilikuwa ndogo. Na nimetoa ushahidi kuhusu waliojiuzulu na kufukuzwa pia. Endelea kubishia ushahidi.
hawastahili kuchukuliwa hatua za ksheria kwani walitekeleza maagizoo ya wakubwa wao (waziri + raisi)..Bado sijafikia kuamini kuwa kiu yetu ni kuona watuhumiwa wanajiuzuru tu bila hatua zaidi kuchukluliwa dhidi yao.Akina Johnson mwanyika,arthu mwakapugi,na wengine sioni kama ni haki kujiuruzu.Badala yake wangefukuzwa na kuchukuliwa hatua za kisheria zinazostahili......
mnaonaje wadau....mmeridhika?
Si bora siku hizi wanajiuzulu hata kujiuzulu, enzi za Nyerere anawapangua tu anamtoa huyu hapa anampeleka kule.
Halafu watu wanampandisha chaaaati.We have a long way to go.
hawastahili kuchukuliwa hatua za ksheria kwani walitekeleza maagizoo ya wakubwa wao (waziri + raisi)..
wao ni wajumbe tuu katika maamuziiii..
nataka kuona wakifungwa jela maisha na pia mali zao zitaifishwe zirudi kwa serikali