Tukubali tusikubali ina ukweli utabaki pale pale. Wanaovuta sigara /msuba/ sigara kubwa au shisha wana mapenzi ya dhati sana!
Hata kama huna hela ukitaka kuvuta utavuta tu bila shida yoyote! Wanapendana sana hawa ndugu. Sigara inaunganisha watu sana na ni raha sana kuvuta kwa kupokezana.
Upendo wa sigara hutokea wapi?
Omba usiwe muuzaji wa sigara! Kiu ya sigara ni zaidi ya kiu ya maji ya kunywa.
Kuna wale wanaovuta na kubakiza kipisi (kupiga nyundo)AF anakiweka mfukoni,hawa jamaa wananukaga balaa sasa ukute kapiga nyundo AF kanyeshewe na mvua,,dadeq utadhani yeye ndio tumbaku yenyewe!!