Kituo kipya cha Mabasi, Mbezi -Dar!

Mikoani wanaambiwa watajijua stand wajenge wenyewe kwa pesa zao lakini dar vituo vya mabasi vinasimamiwa na wizara husika, mbona ubaguzi kiasi hiki? huko mikoani wapate wapi pesa angali hata vyanzo vya mapato mmeamua kuvichukua nyie serikali kuu? why dar?
 
Issue ni je ? kipo sehemu stahili !? Je wasafiri watafikaje !? Je Tunahitaji kuwa na kituo mbali kote huko !? Je patakuwa na uwezekano wa kuunganishwa na usafiri mwingine kama train na mabasi ya mwendo kasi !? Kama jibu ni hapana basi hiyo site haifai !!
 
Tangu enzi za Masaburi mpaka Masaburi akajenga shule kituo bado ni stori. Mjenge msijenge nishanunua gari hata Bukoba linafika......


Lkn sasa hivi kuna Raisi Magufuli hivyo kinaisha, tena kwa wakati!
 


Hatuja kujengea wewe na Familia yako bali ni kwa wana Dar wote!
 
Ngoja kwanza tujenge...
 
Korogwe kimejengwa kituo kizuri kwa pesa za mradi wa kuimarisha halmashauri,moshi wanajenga mikoa mingine nimesahau.
Kituo hicho ni utekelezaji wa DMDP. Btw Dar inachangia sehemu kubwa sana ya mapato ya nchi huo upendeleo bado hautoshi.
 
Hatuja kujengea wewe na Familia yako bali ni kwa wana Dar wote!
Watu kama nyie sijui mnawazaje !? You dont care about others !? Thé issue is How can normal people arrive there early in thé Morning !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…