TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,525
- 28,480
Hahahah mkuu mbona unawatetea wapiga debe hivo au na ww ndo shughuli yako nini?
Yaani kama mtu anataka kusafiri kwa kutumia mabasi ya ubungo ndo balaa zaidiHicho kituo ni sheeedaaaaaaaa. Ukishushwa hapo utembee mpaka ubungo kwa miguu kama unatokea Tegeta, mwenge n.k. hapafai
Kuna walakini hapo
Yani watanzania ni kama tumerogwa vile. na hiyo ni Prress release kabisa kwa ajili ya umma? Utoke kimara/Mbezi ukate kulia utokee Sam Nujoma kweli? Kulia si Mandela Road????
Hili jina litawasumbua wapiga debe... Ubungo..Ubungoo...! Ilikuwa rahisi....Lakini Simu elfu mbili Simu elfu mbiliiii..!! wala hainogi.....Labda wafupishe...Sim... Sim...Simuuuuu...!!
halafu ni usumbufu mkubwa sana................
Leo nimejutraaa.... hadi tukizoee hiko kituo ni shiderrrrrr