Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
kama Upo Serious ni PM nikuunganishe na mzee mmoja aleyekuwa mwalimu wa Mbwa wa police,Huwa nna mtumiaga kuwafundisha mbwa wa rafiki zangu.Yupo anaishi hapa Dar.Au unaweza anzisha hiyo training center then yeye akaja kuwatrain hao mbwa,huku wewe unasoma.Wakuu,
Nahitaji kufungua dog training center(DTC).Ila nataka kwanza kusomea elimu hiyo.Naweza kusoma kwa njia ya masafa?
kama Upo Serious ni PM nikuunganishe na mzee mmoja aleyekuwa mwalimu wa Mbwa wa police,Huwa nna mtumiaga kuwafundisha mbwa wa rafiki zangu.Yupo anaishi hapa Dar.Au unaweza anzisha hiyo training center then yeye akaja kuwatrain hao mbwa,huku wewe unasoma.
utakuwa umefanya la maana sana,kwani mbwa wanahitajika sana for security and blind assistance
jitahidi usivunjike moyo,utafanikiwaWakuu,
Nahitaji kufungua dog training center(DTC).Ila nataka kwanza kusomea elimu hiyo.Naweza kusoma kwa njia ya masafa?
Tomaso kama wewe tazamane hapaBwana wewe naona kama kudanganywa hivi!Nyi mlisikia wapi mbwa wanasoma?Pastor Achachanda naona huu uchizi sasa kha
Wakuu,
Nahitaji kufungua dog training center(DTC).Ila nataka kwanza kusomea elimu hiyo.Naweza kusoma kwa njia ya masafa?
Wakuu,
Nahitaji kufungua dog training center(DTC).Ila nataka kwanza kusomea elimu hiyo.Naweza kusoma kwa njia ya masafa?
Chief Kwani Ni Mafunzo Gani Hayo Anayopewa Mbwa?
Ahsante
Jigo