Hayo yalikuwa mapenzi ya kitoto ukikua unaacha. Hata mi nilikuwa na tabia hyo nikagundua ni upuuzi na kupoteza mda
kama mnapendanana mnapendana tu.. Haipimwi kwa i love yu za kila mara au mesage za mda wote
sijajua unataka nini?au hadi umuone kabisa dume mpya anayemchukua? ngoja niku dedicate hili song,simply you ara fool again
sababu ni nyingi sana
- amekuzoea yaani huna tena jipya
- amekuchoka
- hujishughulishi, unasubiri sana aanzishe yeye maongezi
- ana stress nyingine mfano, hana pesa/ajira/mtu kamzingua/
- umepaniki tu
- amepata mwingine.