Ilikuwa midaya saa 6 hivi mchana huu waleo.minilienda kucheck malaria wakati tupo maabara tulianza kuitwa majina mmojammoja ilikuchukuliwa damukidogo ya sample ilikuipima nakujua ainaya ugonjwa mtuanaoumwa. Ikafikazamu ya Dada mmoja aliitwa akaingia maabara maratukasikia makelele nibaada ya mgonjwa kuambiwa lipiakipimo alafuukanunue bomba lakutolea damu. Dada mgonjwa aliwakasana akawaanahoji tena kwasauti yajuukabisa:Nyinyi vipi yaninimelipiavipimo alafumnaniambia nikanunue bomba duka la dawa nje ya hospitali nyie wehunini.basi wotetukabaki midomo wazituna jiuliza inamana hata bomba za kutolea damu hakuna?.Kweli afya zetu zimewekwa rehani!!.