Yan usingeweka neno kuhusiana na kugegeda ningeshangaa sana, yan sijawah ona post yako isiyo na migegedo, we jamaa unajini mahaba mkemee haraka sanaNilimchapa mwalimu viboko kichawi akiwa hanion na nikamgegeda mtoto wake
Samahani kwa comment yangu, najua inaweza kukuhudhi. Namdharau sana mtu anayeingia kwenye mtihani na vijikaratasi vya kumsaidia kujibu maswali.M nlikua kwe pepa la mock advance iyo nlikua na nondo so ilipofika muda wa kuitumia nondo yangu nkajisahau mara paap tcha kaibuka kunikuta na kikaratasi akaniomba me nilichokifanya nilikitia mdomoni na kukitafuna tcha akanipiga kofi la shavuni ndo nkaongeza kasi ya kutafuna mpk nkakimeza nkawa nimefuta ushahidi hahahaaaa advance life iyo
yah hata mm namdharau mtu anaye fail kwa kushindwa kujisaidia mwenyewe maana mwsho wa siku ulichokijibu kwe huo mtihani hukipeleki popote so chunga usifail tuSamahani kwa comment yangu, najua inaweza kukuhudhi. Namdharau sana mtu anayeingia kwenye mtihani na vijikaratasi vya kumsaidia kujibu maswali.
Dah mkuu ulisoma pugu?, huu ndio ulikuwa mchezo wetu pale.habar zenu wana jf...hua nikiwaza life langu la shule hua nafurahi sana coz nilienjoy sana hasa O level
nilikua nasoma boardin flan hapa dsm bahat mbaya iko karbu na makazi ya watu pia kulikua na wanafunzi wa kutwa(day) ilikua kwenye miaka ya 2000's kabla wazaramo wenye mji wao kuuukimbia kwakua kulikua na wenzetu wa day wao kaz yao kubwa ilikua kutuletea ratiba ya vigodoro kila weekend dah achana na hivi vya sasa vinavyojaza wahuni wavuta bhangi na wadada wa mjin masister duu vya enzi hvo vilikua htr sana
sitosahau siku tulipewa ratiba tukaenda kufika tukakuta mziki umewekwa nje na madada wameshawehuka kwa mizuka halafu wamevaa khanga tu wengne zimeloa hapo niko form 3 uzuri nilikua na mwili japo mtt na nguo za nyumbani nilizotupia hata maza akat nimbambie lyf lilikua tamu aisee kwasababu mji ulikua bado basi vichaka kila mahali ni unamshka tu mkono unaembambia unaingia nae kichakan ukitoka ushamwaga viwili mnaendelea tena unaeza kumbadilisha nae pia ukamvuta kichakan dah ikawa ndo mchezo wetu kila ijumaa usiku na jmos usiku zetu ni kutoroka tu
ikafika kipindi weeken imefika hatuna ratiba tunatoka hvo hvo tunakaa mlimani tunasikiliza sauti tunazifata mpaka tunakipata,,,ikiwa jtatu unawaza ijumaa itafika lini dah kamchezo kaliniharibu sana hata perfomance ikashuka tulivofika form four tukadakwa ikajulikana wale watukutu wote wakufukuzwa tukaachwa sie ambao ilionekana ndo mara ya kwanza tukaandikwa kwenye black book(ambacho mpaka leo siamin kama kina exist) ndo ikawa ahueni yangu nikatulia nikafaulu nikaenda adv then chuo mpaka sasa nina kazi yangu
yapo matukio meng sema hili hua silisahau
je ww ulikua na tukio gan shule hutolisahau???
ulitisha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]M nlikua kwe pepa la mock advance iyo nlikua na nondo so ilipofika muda wa kuitumia nondo yangu nkajisahau mara paap tcha kaibuka kunikuta na kikaratasi akaniomba me nilichokifanya nilikitia mdomoni na kukitafuna tcha akanipiga kofi la shavuni ndo nkaongeza kasi ya kutafuna mpk nkakimeza nkawa nimefuta ushahidi hahahaaaa advance life iyo
shule za jeshi ni balaaa dahNikiwa form III na vijana wangu watatu tulisepa na sufuria la wali na nyama porini, nakumbuka tulitafutwa na shule nzima mpaka mademu tukaona nyomi lilivyotawanyika porini kutusaka ikabidi tuhamishie mzigo kwenye ndoo na kuacha masufuria, tukiwa kwa mbali tunawachora wanafunzi wanaotutafuta balaa lilikuwa pale walipoyaona masufuria tuliyoyaacha na msosi kidogo ugomvi mkubwa ulizuka mpaka watu kupigana. Baada ya week ikajulikana nani walifanya tukio kilichotukuta ni siri yetu kwa sababu shule ilikuwa ni ya Jeshi tulikabidhiwa kwa MP wawili Coplo DAVI na Sajent J4 aisee tulipewa dozi kama makuluta waliotoroka mazoezi, Ka baada ya masaa manne tukiwa hoi tukapelekwa jikoni na kukabidhiwa sufuria la ugali na sado la maharage eti tule mpaka tumalize.... wacha niishie hapa maana hiki hakikuwa kituko bali Juto