Jaamaa mmoja mumini wa kanisa moja hivi alikuwa kaoa mke wake ila hawakubahatika kupata mtoto, Mwanamke akawa anaombewa na mchungaji ili apate mtoto! Siku moja mchungaji akaenda kwa kondoo wake, alivyofika akaanza kumwambia hivi unajua mume wako ndio ana matatizo,yaani hana uzazi. Cha kufanya kama wewe shida yako ni mtoto, mie nina uwezo wa kutunga mimba, Si unajua Mwanamke akakubali , Mchungaji akaanza kupiga mzigo. Mwisho wa siku mwanamke akubeba ujamzito ikawa timbili ndani ya kanisa!!!!!!!Jamani msirihusu wake zenu kuombewa mazingira ambayo siyo mazuri. Watu wakiwa wawili tu mke na mume, Mtumishi akija kwako nae aje na mke wake kama mwanamume haupo. Maana kuna mazingira yanatia Ushawishi!!!!!Kwenu wadau.