Kituko cha Jumuiya ya Madola - Kwikwikwikwikwi

 
Jeshi la tanzania ndilo lilitakiwa kua refarii kwenye hili linalo endelea kwaku nao wapo hapahapa nchini na yaliyotokea na yanayo endelea wanayaona, hizo moves zingine zoote ni batili, hawezi kuja mtu kutoka alipotoka wakati hapahapa ndani wapo watakao weza kumaliza hili tatizo, mawazo yangu tu, sijui kama nimewaza vizuri au vibaya, ila ndilo ninalo liona, hivi huyo msuluishi tunajuaje kama hana INTEREST PARTY!? #FANYA_UNACHOTAKIWA_KUFANYA_NDIO_UFANYE_UNACHOTAKA_KUFANYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…