A Aine JF-Expert Member Nov 1, 2010 1,603 488 Jul 4, 2011 #1 Mods, naomba mnisaidie jamani, hiki kitufe cha Thanks utaratibu wake wa kukiweka ukoje? maana leo unakiona kesho hakipo, sababu zinazopelekea kukiweka nakukiondoa ni zipi hasa?
Mods, naomba mnisaidie jamani, hiki kitufe cha Thanks utaratibu wake wa kukiweka ukoje? maana leo unakiona kesho hakipo, sababu zinazopelekea kukiweka nakukiondoa ni zipi hasa?