Kitu ya mujerimani hii

Hii kitu noma ndg, hata Mjerumani mwenyewe siku hizi hawatengenezi tena gari ngumu km zile za zamani
 
dah aise kweli nimeamini kwamba ya kale ni dhahabu
Sio magari yenu ya siku hizi ambayo body yake ni full mabox ndo maana ajali za siku hizi vifo vimekuwa vingi mno kwa sababu hata body lenyewe tu halitoshi kumkinga mtu dhidi ya mikikimikiki ya nje
 
Bodi bado zima kabisa, imekosa rangi tu.
 
Hapo utachakaa mti yenyewe bado inadunda
 
Dah hii ndo iligonga mbrazil nn?...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…