wapendwaa hii imetokea kwenye campenii igungaa,wiki km mbili,jamaa anaitwa musa tesha...ni mpigaa debe au kelelee wa CCM,alijikuta hoi bin taaban hosptali baada ya kumwagiwaa tindikaliii aka acid na mtu asiejulikana,wakati akimnadi mgombea wake wa CCM kwa mbwenbwee.hadi leo haijajulikana nanii au ni chamaa gani???naomba kuwakilisha
Jamani sijui kwanini binadamu wengine wanakua na roho mbaya kiasi kicho mpaka unataka kumua mwenzio loh! pole kaka mwenyezi mungu atakulinda hili na kila uadui...
Kazi ya Nape hiyo...............posho kiduchu kazi ngumu.............na tindikali juu,NYIE VIJANA WA NAPE MSIAMINIANE TENA si mmemuona mwenzenu alivyo sasa.
Nape mbaya kweli kweli kamuunguza mtoto wa watu kaingia mitini Igunga anaiona kituo cha polisi. Ila mwisho wa ubaya ni aibu, kwani huyu muathirika alikuwa anafanya kazi chafu na yeye kawazidi kete wenziwe nao wakamfanyia kweli.Aliyeuza cheni feki kapewa fedha bandia patamu hapo.