Kitu original hicho

Hizi gorofa nilizikuta Mlalo-Lushoto-Tanga. Naskia ni imara sana, acha hizi za Dar zinazoanguka zenyewe
 
Hizi hata huku kwetu Undambani tunazo ila tofauti zetu ni za matete.
Waukae (wa Mofu, Ngombo,Merera, Mngeta) mtuwekee angalau picha.
 
Sio kwa kina mh Zito hapo....
 
Hizi hata huku kwetu Undambani tunazo ila tofauti zetu ni za matete.
Waukae (wa Mofu, Ngombo,Merera, Mngeta) mtuwekee angalau picha.

Kule kwetu mngeta tunaita Lingo kama sikosei kwi kwi kwi kwi kwi tena yako mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…