mkwanguaji
Member
- Nov 7, 2017
- 7
- 5
Habari Wadau Wa JF,
Naomba kuuliza ni kitu gani nizingatie kabla sijanunua Laptop?
Ninapenda Sana Laptop za HP.
Naomba muongozo wadau.
Natanguliza Shukrani.
Naomba kuuliza ni kitu gani nizingatie kabla sijanunua Laptop?
Ninapenda Sana Laptop za HP.
Naomba muongozo wadau.
Natanguliza Shukrani.