kitu cha will smith

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
Will Smith's house is so big that you can run away and still be at home
 
Wacha wee...! Haya tunaoishi kwenye Nyumba za Kupanga
 
halafu wewe unatafuta chumba na sebule cha kupanga sinza kodi isizidi laki 2. haya maisha haya.
sitaki kuamini hata huko jehanam kama kutakuwa na usawa.
 
Hongera zake na jumba lote hilo utaambiwa wanaishi wawili???? Mungu atujaalie na sisi nyumba bora huko akhera..
 
aisee!! hii si ni thamani ya mtaa mzima wa mtogole kwa tumbo?
 
Dah....jamani jamani...wengine wanaishi wengine tunawasindikiza mweeeh!
 
Pesaaaa!ukiangalia vitu kama hivi unaweza ukamkufuru Mungu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…