I like what I see
Ukitaka kufeel utamu wa kitanda hiki, uwe na demu mkaliii aliyekusumbua kwa muda mreeefu. leo sasa ndio kasema yes
Me tooKipo too fancy sitokuwa comfortable!!I guess I am old fashioned!!
You are welcome to have a siesta!I like what I see
Hivi Hawa mafundi wetu wa uswazi wataweza kunitengezea kama hicho?!!
Kipo too fancy sitokuwa comfortable!!I guess I am old fashioned!!
ntaota niko Mbinguni nikilala hapo....
Hakionyeshi uhalisia wa maisha yenyewe!Dah kitu cha ukweli sana hiki..........
Ha ha ha napenda baadhi ya vitu vya kizamani vipo so comfy!!Dont u think?Translation = BROKE!