Bibie hujasema mtotowako anamiaka mingapi? uliwahi kumpeleka Hospitali gani? Je uliwahi kumpeleka hospitali ya muhimbili kuchekiwa?bibie MankaM
Tafuta Dawa mmoja inaitwa kwa jina hili habbat Sawda kipimo cha gramu 50 na ufuta mweupe gramu 50 uchanganye pamoja kisha uıwe unampatia kijiko kidogo ale hiyo dawa kutwa mara 3 asubuhi mchana na usiku kwa muda wa siku 7 kisha uje unipe feedback. Bibie MankaM Habbat swda inapatikana kwenye maduka ya dawa za kisunna Kariakoo mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni kaulize utapata hapo. Unaweza kuitwanga kuwa unga na huo ufuta pia ukautwanga kuwa unga kisha ukachanganya pamoja. Na kumpakijiko kidogo kutwa mara 3 kwa siku 7 atapona inshallah.Hosptali alowahi kutibiwa ni K's hosptal. Marie stops na aghakhan mbeya mtoto ana miaka miwili na mwez mmoja
Mwanao kitavu hakikukauka vizuri na kupona kabisa ushauri wangu nenda hospital kubwa watakifungua na kukifunga upya..usiafanye mzaaa katika hilo.pia jaribu kuepuka kuweka maji kwenye kitovu..
Tafuta huko huko uliza kwa jina hilo la Habbat Sawda utapata nenda katika maduka ya dawa za kisunna huko uliko. bibie MankaMShukrani mkuu MziziMkavu sasa iwapo siishi dar naweza kupata katika maduka gani mkuu au ndio nisafiri hadi dar??????
Shukrani ndugu napata picha kukifungua na kukifunga upya mmmhhh aiseee hili sio suala la mzaha ...
Kuhusu kuweka maji huwa siwezi bali huwa na msafisha na pamba + maji ya chumvi
Dear.... Watoto wanapozaliwa huko hospitalini huwa tunaambiwa kitovu kisiingie maji kabisa.
Kinatoa maji yenye harufu? Kwa watoto wachanga wanapozaliwa, hupewa dawa ya Povidone ( for external use only) pekee ndio inaweka
kwenye pamba kidogo unampakaa hapo kwenye kitovu kinapona kabisa kabisa. Tafuta daktari wa watoto mzoefu mkoa
wa Dar es salaam. Asikudanganye mtu, mikoani matibabu bado ni challenge kubwa sana. Pole dear.
Shukrani ndugu napata picha kukifungua na kukifunga upya mmmhhh aiseee hili sio suala la mzaha ...
Kuhusu kuweka maji huwa siwezi bali huwa na msafisha na pamba + maji ya chumvi
Shukrani ndugu napata picha kukifungua na kukifunga upya mmmhhh aiseee hili sio suala la mzaha ...
Kuhusu kuweka maji huwa siwezi bali huwa na msafisha na pamba + maji ya chumvi
kukifungua na kufungwa upya wala isikufanye uwaze sana maana kwa mtoto kitovu kinakutana ma utumbo tu. .
nenda hospital kubwa kama muhimbili. kwa kanda ya magharibi jaribu ile hospitali ya mission maarufu kwa jina la IKONDA, wako vizuri sana. Ipo makete kama unatokea Mbeya..
usipuuzie maana mtoto anaweza pata kilema maisha na kuleta kasoro kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
Asante ndugu yangu kwa kuwa niko mbeya ni rahisi sana kufika Ikonda