pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
-
- #121
habar wanandugu mimi ni muhanga wa kutapeliwa pesa na ndugu Kitomari2 nilidunduliza kiasi cha laki na nusu kwenye kibubu nikiwa na nia ya kuanzisha mradi wa kuku hiyo pesa niliipata kwa shida sana nikaandaa banda nikaoder vifaranga 50 nikalipia ila huwez amini tangu mwenz wa nane hadi leo roho inaniuma sana ila najua haki ya mtu haipotei bali itachelewa hilo ni jasho langu nitapambana no matter what tahadhar kwa wengine msije mkapotea kama mimi
Yaan huyu jamaa na wauzaji wa vifaranga Arusha kwa ujumla wao ni feki tupu wizi unaziba baraka hadi kizazi chako cha nne
Mungu alishanilipa kaka alinibariki mno akanipa kazi yenye kunipa kipato kikubwa acha Mungu aitwe MunguPoleee saana!nina imani ulishalipwaaa na Mwenyezi Mungu
mmh!.,mkuu,kukiukwa kwa makubaliano ya aina yoyote waliyokubaliana wanachama wa jf "nje" ya jf hayamfanyi Invisible or jf officials wawe answerable kutoa maelezo whatsoever. tena usishangae huyo mleta mada akalimwa BAN kwa kum-name calling anaye mtuhumu.nimeongea ki-layman,tusubiri magwiji wa sheria waje.