year 2006 Member Joined Jan 14, 2016 Posts 87 Reaction score 57 Aug 22, 2018 #1 Kwa uelewa wangu finyu wa biblia kitimoto haruhusiwi kuliwa, lakini makanisa mengi ya kikristo yamehalalisha, naomba kujua je kuna sehemu kitimoto ameruhusiwa kuliwa?
Kwa uelewa wangu finyu wa biblia kitimoto haruhusiwi kuliwa, lakini makanisa mengi ya kikristo yamehalalisha, naomba kujua je kuna sehemu kitimoto ameruhusiwa kuliwa?
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,311 Reaction score 12,202 Aug 22, 2018 #2 Bwana Yesu Kristu aliruhusu mbona au hukusikia kanisani kwenu maneno "Kimuingiacho mtu sio Najisi bali kimtokacho!"..
Bwana Yesu Kristu aliruhusu mbona au hukusikia kanisani kwenu maneno "Kimuingiacho mtu sio Najisi bali kimtokacho!"..