Ili kutatua matatizo yote ya maji tanzania (au nchi yeyote Africa), ni lazima u allocate ya budget ya nchi nzima kwenye kutatua matatizo ya maji....
Alafu nani amesema Kitila angetatua kero ya maji nchi nzima ndani ya budget moja? Thats unrealistic,,