Kitila awatembelea waajiri wake Sinza kuomba kura

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo Professsa Kitila Alexander Mkumbo Septemba 23 ameendelea na kampeni zake katika kata ya Sinza kuinadi ilani ya Chama cha Mapinduzi na kumuombea kura mgombea Urais wa chama hicho Dkt Samia Suluhu Hassan.

Soma pia: Prof. Kitila aridhishwa na zoezi la kura za maoni Ubungo

Your browser is not able to display this video.


Akiichanja mitaa ya Sinza aliambatana na mgombea Udiwani wa Kata hiyo Wakili Raphael Awino ili kuomba kura, kusikiliza kero za wananchi, kutoa ahadi na kufahamu wanayotaka wananchi kwa miaka mitano katika kata hiyo.

Kitila kaliongoza jimbo la Ubungo kwa miaka mitano na sasa anaomba kupewa nafasi ya kuongoza jimbo hilo kwa miaka mingine 'mitano tena'
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…