Mkuu haya ni mauaji yametokea kiteto siku ya jana chanzo ugomvi wa wakulima na wafugaji,na taarifa si ngeni kwa serikali lakni hakuna hatua madhubuti zilizochukuliwa kila siku mauji yanaongezeka.

Hii ni hatari sana na haya makovu yatokanayo na haya mauaji yatazihasimisha hizi jamii kwa muda mrefu sana na ni vizazi kwa vizazi.Soo sad halafu haijapewa coverage Sana kwenye media.